Infinix NOTE 10pro Na Helio G95 Chipset Yazinduliwa Rasmi Tanzania.

Dar es Salaam : Kampuni ya simu Infinix yazindua rasmi simu mpya kutoka toleo laNOTE-Infinix NOTE 10pro Iijumaa ya 4/6/2021. Infinix na Tigo wameitambulisha Infinix NOTE 10 pro kama simu ya kwanza kwa kampuni ya simu ya Infinix kuja na Helio G95 processor, kamera nne nyuma kamera kuu MP64 na GB78 za internet kutoka Tigo.